Akielezea kuhusu pesa ambazo Mke wa Kabila anazitoa kwa waandishi wa habari na wasanii wa DRC, Mshauri wa Rais Tschisekedi Jean Jacques Elakano amesema: '' Waandishi wa habari wanaopewa pesa ...
Rais wa DRC Félix Tshisekedi, amemtaja moja kwa moja mtangulizi wake Joseph Kabila kwa kuwafadhili waasi wa M23 wanaoendelea ...
Hali ya usalama inavyo zidi kudorora katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndivyo serikali ya Rais Tshisekedi inavyo zidi kuwa chini ya shinikizo kubwa.
Wahazade ni kabila dogo nchini Tanzania,wanaopatikana katika mikoa ya Manyara na Singida. Jamii hii bado inaishi pembezo. Upekee wa Wahadzabe ni kwenye Harusi zao ambapo Mbali ya Mwanaume kuolewa ...