ACT- Wazalendo kilifungua mashauri tisa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigoma kupinga uchaguzi wa wenyeviti wa Serikali za ...
Mashuka yenye urembo wa maua ya kushonwa na rangi za kuvutia yameninginizwa pembezoni mwa barabara na nje ya nyumba kama uzio, ni ishara inayoweza kukujulisha kuwa umefika Kigoma. Ni katika mji ...
KIGOMA; SEHEMU ya mashabiki wa Yanga waliojitokeza kuwapokea wachezaji wa Yanga Uwanja wa Ndege mkoani Kigoma kwa ...
KIGOMA; Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Kigoma mchana wa leo Ijumaa Februari 21, 2025 kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ...
Watu 10 wamefariki katika ajali iliyotokea baada ya basi la abiria lililogongana na treni eneo la Gungu katika manispaa ya Kigoma Ujiji, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa ...
Yanga inapaa leo kwenda Kigoma ikiwafuata wanajeshi wa Mashujaa, lakini kocha wa timu hiyo, Hamdi Miloud amewajaza upepo ...