Rais Yoweri Museveni ameangazia suala la kukamatwa na kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani Dr. Kizza Besigye, na kusisitiza ...
Kauli ya Museveni imekuja siku moja tangu Dk Bsigye alipofikishwa hospitali baada ya afya yake kuzorota kufuatia mgomo wake ...
Rais Yoweri Museveni ameangazia suala la kukamatwa na kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani Dr. Kizza Besigye, na kusisitiza kuwa lile ambalo linafaa kupewa kipaumbele ni hukumu itolewe kwa haraka ...
Baada ya zaidi ya wiki moja ya mgomo wa kula, mpinzani wa kihistoria nchini Uganda Kizza Besigye ameanza tena kula, kulingana ...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefunguliwa mashtaka ya uhaini, ikiwa ni sehemu ya msururu wa matatizo ya ...
Alilazwa hospitalini kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki, huku waziri mmoja katika Serikali ya Uganda akisema hali yake ya afya inatisha.