Rais Yoweri Museveni ameangazia suala la kukamatwa na kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani Dr. Kizza Besigye, na kusisitiza ...
Viongozi wa upinzani nchini Uganda wametoa makataa ya saa 48 kwa Rais Yoweri Museveni, wakitaka kuachiliwa mara moja kwa Dk ...
Kauli ya Museveni imekuja siku moja tangu Dk Bsigye alipofikishwa hospitali baada ya afya yake kuzorota kufuatia mgomo wake ...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye amefunguliwa mashtaka ya uhaini, ikiwa ni sehemu ya msururu wa matatizo ya ...
Katika chapisho lingine, alidai bila kutoa ushahidi kwamba watu wa kabila la Bahima kutoka Uganda wamekuwa wakishambuliwa ...
Mkuu wa vikosi vya Ulinzi vya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema Uganda inatoa saa 24 vikosi vyote vilivyopo ...
WAFUASI wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, wamefichua kuwa mwanasiasa huyo alikimbizwa hospitalini jana ...
Siku ya Jumatatu rais Museveni wa Uganda alikutana na Balozi wa Marekani na kulingana na ujumbe wake kwenye jukwaa la X kwamba waliangazia masuala nyeti ya kimaslahi. Lakini umma unadhani kuwa ...
MOJA ya makosa ambayo mwalimu Julius Nyerere amewahi kukiri kuyafanya wakati wa utawala wake na kuyajutia ni kuitambua ...
Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti kuwa muuguzi mmoja amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Ebola, katika mji mkuu, Kampala. Katibu mkuu wa wizara hiyo, Diana Atwine, amekiri mbele ya waandishi ...