Mchome, ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amesema uteuzi wa vigogo hao uliidhinishwa bila akidi ya kikao cha baraza kuu kutimia. Utafiti huu unayeyusha dhana ...
Kwa mfumo huu mpya wa ada, gharama zinazohusiana na kupata cheti cha afya ya mazao na ukaguzi zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.
Dk Mwasaga amesisitiza kuwa mpango huo utaimarisha uchumi wa kidigitali unaojitegemea na kupunguza utegemezi wa teknolojia za kigeni.
Mchome, ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, amesema uteuzi wa vigogo hao uliidhinishwa ...
Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ushetu, Dk William Msigale amekiri kumpokea Julius kituoni hapo akiwa na majeraha sehemu ...
Arusha. Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amefichua taarifa za wizi wa fedha kiasi cha Sh252 milioni zilizobambikwa kwenye mahitaji ya manunuzi ya eneo la ekari sita kwa ajili ya ujenzi ...
Kyerwa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia watu wanne kati ya saba wakiwamo wanafamilia wa Kijiji cha Kishanda ...
Dar es Salaam. Nyota wa kimataifa wa Riadha nchini, Gabriel Geay amefunika baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa mbio za ...
Ushindi huo wa 18 umeifanya Yanga kufikisha pointi 55 katika mechi 21 na ikiwa haina presha yoyote kwa sasa licha ya wapinzani wao, Simba na Azam zikipepetana kesho usiku, kwani hata ...
Licha ya straika huyo wa zamani wa KVZ kutumika kwa dakika 30 alionyesha kiwango bora akijaribu kuendana na kasi na presha ya mchezo huo uliojaa mashabiki wengi.
Doyo amesema hawaafiki msimamo huo kutokana na wao kutonufaika na muunganiko wowote wa vyama vya siasa wanapoungana kuikabili CCM.