Ramovic alisema asitokee mtu au wapinzani wao wakadhani ataidharau mechi hiyo, badala yake ameelekeza nguvu 'kubwa' kwa kutumia silaha zote ili kushinda mchezo huo. "Tunatakiwa kushinda mechi hii, pia ...
Kupunguza Gharama za Uendeshaji – Uwepo wa bwawa hili utapunguza gharama kubwa zinazotumika katika upatikanaji wa maji kutoka vyanzo vingine vya mbali. Maendeleo ya Uchumi – Kupatikana kwa maji ya ...
Theluji kubwa inatarajiwa kuendelea kuanguka kesho Jumapili katika maeneo ya kando ya mwambao wa Bahari ya Japani kutoka kaskazini hadi magharibi mwa Japani. Baadhi ya maeneo tambarare kando mwa ...
Aston Villa wamejiunga na mbio za kumsaka mshambuliaji wa Wolves na Brazil Matheus Cunha, 25, ambaye pia anavutia Nottingham Forest, Chelsea, Arsenal, Tottenham na Manchester United. (Barua ...
Tatizo la usafirishaji na uunganishaji wa umeme kwa wananchi, linathibitishwa pia na Dk Biteko katika mazungumzo yake na gazeti hili. “Kwa kweli tatizo kubwa ni kuzalisha, na tatizo la pili ni ...
Picha na Sunday George. Dar es Salaam. Aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Chadema katika uchaguzi wa Januari 21, 2025, Odero Charles Odero, amemshukuru mjumbe aliyempigia kura kwenye uchaguzi huo huku, ...
Mapitio ya Sera Mshauri wa masuala ya kodi nchini, Simbawene Kitalu anasema kupitia sera za kimaendeleo, Tanzania imepiga hatua kubwa kuchochea ukuaji wa biashara ndogo na za kati. “Sera ya Taifa ya ...
Madaktari, wanasayansi, marais, na mawaziri wakuu walikusanyika haraka kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Afya huko Paris mwaka 1851, ambao ulikuwa ni mtangulizi wa shirika kubwa zaidi la aina hiyo ambalo ...