Kuri uyu wa mbere, isiganwa rizerekera mu ntara, agace ka mbere nyirizina. Abasiganwa bazahaguruka Rukomo mu majyaruguru y'u ...
Baada ya tamko hilo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame, alikanusha tuhuma hizo, akizitaja kuwa za uongo na kinyume na mazungumzo aliyokuwa nayo na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Kagame alidai kuwa ...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea ...
ADDIS ABABA : MATAIFA 55 ya Umoja wa Afrika yatakutana Ijumaa mjini Addis Ababa kwa ajili ya kumchagua mwenyekiti mpya, huku ...
Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na nchi ya Rwanda, wamekuwa wakiripotiwa kuchukua ... hali ambayo imezua wasiwasi. Rais Kagame anahudhuria kikao hicho moja kwa moja kinachofanyika jijini ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame (kulia) akiwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi na Mkuu wa Idara ya Inteljensia nchini humo, Kayumba Nyamwasa. Picha na Mtandao Dar es Salaam. Wakati Rais wa Rwanda, ...
Kigali. Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa hafahamu kama majeshi yake yako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mashariki mwa DRC ni eneo ambalo mapambano kati ya vikosi vya ...
U Rwanda ruranenga Umuryango w'Abibumbye ko wananiwe gufatira ibihano ibihugu nka ... ibintu abasesenguzi basanga ko ari kimwe mu bituma ibibazo biteza intambara bitarangira muri iki gihugu. Perezida ...
Rais wa Rwanda Paul Kagame na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa waliweza kuzungumza mara mbili kwa simu tangu mwanzoni mwa juma, lakini uhusiano wa kidiplomasia kati ya Rwanda na Afrika Kusini ...
Katika kile kinachoonekana kama muelekeo wa vita hivyo kugeuka kuwa vya kikanda, Rais Paul Kagame wa Rwanda alitoa kauli kali siku ya Alkhamis (Januari 30) dhidi ya uwepo wa vikosi vya jeshi ya ...
GOMA : RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kujadili kuongezeka kwa ghasia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo wanajeshi 13 wa Afrika ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefanya mazungumzo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kuhusu kuongezeka kwa ghasia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo wanajeshi 13 wa ...