HALI ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya kikosi hicho kuchapwa juzi bao 1-0, dhidi ya ...
BAADA ya awali kuikosa burudani ya mchezo wa kwanza kati ya Azam FC na Simba uliopelekwa visiwani Zanzibar, safari hii ...
MASHABIKI wa Leicester City wameanza kumchoka kocha Ruud van Nistelrooy wakimtaka aondoke haraka baada ya kuona matokeo ya ...
WAKATI Simba na Azam zikishuka uwanjani kesho jioni katika Mzizima Derby, vinara na watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga jana ...
MANCHESTER United imeripotiwa kujiandaa kupeleka ofa ya maana kabisa huko Tottenham Hotspur kwa ajili ya kunasa huduma ya ...
REFA wa zamani wa Ligi Kuu England, Mark Halsey ameishambulia VAR akisema ni ya hovyo baada ya kuinyima Everton nafasi ya ...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatathmini uendeshaji wa viwanja vyake vya michezo ili kuangalia uwezekano wa kuuboresha ...
NYOTA wa Kitanzania, Clement Mzize ndilo jina ambalo linatembea kwa sasa vinywani mwa mashabiki wa Yanga, nyota yake ikizidi ...
SUPASTAA, Kevin De Bruyne atalazimika kutazama upya mpango wake wa kutaka kustaafu soka kwenye kikosi cha Manchester City ...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji aliyetambulishwa hivi karibuni na klabu ya Al Mina'a ya Iraq amesema Simon Msuva ana ...
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imesimama kwa mwezi mmoja kupisha timu za taifa zinazowania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ...
BEKI wa kati wa Namungo, Derrick Mukombozi amefutiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja aliyopewa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ...
当前正在显示可能无法访问的结果。
隐藏无法访问的结果